-->

Nitafuturu na Wasiojiweza – Nisha

Msanii wa bongo fleva Nisha anategemea kuwafuturisha watu wasiojiweza tarehe 26/6/2016 viwanja vya Azania Lego ili kuweza kuwasaidia watu wanaoishi katika mazingira magumu na wasiojiweza ikiwa kama moja kati ya sadaka zake ambazo atakuwa ametoa.

nisha290

Nisha

Pia ameendelea kusema kwamba futari hiyo haina masharti, hivyo anawaalika watu wote bila kujali dini kuweza kujumuika na yeye katika siku hiyo ya kufuturisha kwani sadaka yake hiyo haana idadi wala kiwango cha watu ambao wanatakiwa kuwakilisha siku hiyo.

Hata hivyo Nisha ameendelea kusema kuwa wanategemea kuwa na viongozi mbalimbali katika kukamilisha futari hiyo akiwe Mama Samia Hassan na wengine, na kusema kuwa watu mbalimbali wajitokeze kusaidia watu wasio jiweza na si kwa mwezi mtukufu pekee bali katika nyakati zote

eatv.tv

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA WEWE NI MFANYA BIASHARA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364