-->

Ommy Dimpoz Afunguka Kutamani Kumuoa Wema Sepetu

Staa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amefunguka kuwa Wema Sepetu asingekuwa ‘Super Star’ nilitamani awe mke wake.

wema

Kupitia redio cloudsfm, ommy alieleza haya;

“Ndio maana mimi sipendi ku’date’ na watu maarufu unakuwa hakuna ‘privace’ watu watajua kunakuwa na mambo mengi sana, sometimes unaishi siyo maisha yako utakuwa unawaridhisha mashabiki wa ‘girlfriend’ wako kwasababu ukifanya hivi watatukana na hawajui na wewe uliumizwa kiasi gani inakuwa sio filling zako zinakuwa ni filling zaa mashabiki wa girlfriend wako, kiukweli sijawahi uhusiano na staa yoyote” Alisema Ommy Dimpoz.

Kama Staa asingekuwa Staa ningetamani kudate naye ni Wema” Aliongeza Ommy Dimpoz.

Cloudsfm.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364