-->

Picha Hii ya Diamond na Mtoto wake Tiffah Yawa Gumzo

Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram.

diamond33
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ ndiye aliyeiweka picha hiikwenye ukurasa wake mtandaoni humo na kuandika “Simply adorable?”
Picha ambayo baadhi ya mashabiki walionyeshwa kutopendezewa nayo kwa madai kuwa kiss hilo limevuka mipaka na haipendezi kuwekwa mtandaoni huku wengine wakionekana kuona ipo sawa na inaonyesha ni kwajinsi gani Diamond anavyompenda motto wake Tiffah ‘Dangote’.
Wewe unaionaje hii?

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364