-->

Riyama, Mboto Kupamba Kichupa Cha ‘Mama Kijacho’

Mastaa wa kali wa Bongo Movies, Riyama Ally na Mboto Haji kushiriki kwenye video ya wimbo wa mama kijacho wa msanii Tunda Man.
Tunda Man ameeleza kuwa kichupa hicho kitakuwa cha aina yake tofauti na vichupa vyake alivyowahi kutoa, kichupa hicho kinaandaliwa na muongozaji mahiri nchini Hanscana.
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera za video hiyo.
rimaya444

riyama2300

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364