Picha: Kivuko cha MV Magogoni Chapoteza Mwelekeo, Abiria Wajitosa Majini
Kivuko cha MV Magogoni kupata hitirafu, kumepoteza mwelekeo na kuacha njia yake hali ilozua taharuki kwa abiria.
Vilio na kelele zilisikika pale maji yalipoanza kupanda ndani ya kivuko.
Hali hiyo ilisababisha abiria waanze kujitosa ndani ya maji kwa wale wanaojua kuogelea. Hakika watu wa Kigamboni wanatembea roho mkononi.
Poleni kwa wote Mliofikwa na mkasa huu
JF