Mama mzazi wa aliyekuwa Staa wa Bongo Movie, Marehemu Steven Charles Kanumba, Flora Mtegoa akiwa ameshika shada wakati wa ibada fupi ya kumuombea mwanaye.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba akizungumzia namna Marehemu Steven Kanumba atakavyoendelea kuenziwa tarehe kama ya leo na mwezi, tangu kifo chake.
Staa waBongo muvies hapa nchini, Anty Ezekiel akifanya mahojiano na baadhi ya wanahabari makaburini hapo.
NA DENIS MTIMA/GPL
Comments
comments