Picha: Meninah Afunga Ndoa Tena
Staa wa bongo Fleva alieibukia kwenye BSS, Meninah La Diva, amefunga ndoa tena na mwanaume mwingine.
Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo iliyofungwa mwaka jana imevunjika. Haijulikani sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo.
Peter alibadilisha dini na kuwa muislamu ili kumuoa Meninah na kuanza kutumia jina la Abdulkareem. Hadi sasa bado Meninah anatumia jina la Meninah Abdulkareem.
Muimbaji huyo amepost picha ya ndoa yake mpya Instagram na kuandika:
Bongo5