-->

Picha: Mpenzi Mpya wa Nuh Mziwanda Ajichora Tatoo Hii

Msichana anaedaiwa kuwa ni mpenzi mpya wa msanii Nuh Mziwanda  amejichora tatoo kwenye mkono wake yenye jina la Nuh Mziwanda.

Picha za Msichana huyo akiwa na tatoo hiyo ya ‘NUH MZIWANDA.’ zimekuwa zikisambaa mtandaoni huku ikiadiwa kuwa  Bado Nuh ana tattoo ya ex wake Shishi.

Jionee picha

nuh mziwanda21 mziwanda

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364