-->

Baada ya Chura Kufungiwa, Snura Anakuja na Mende

Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu wimbo wa Snura mrembo kutoka kiwanda cha burudani bongo kufungiwa ameamua kuja na wimbo mwingine unaitwa Mende.

SNURA341

Snura amesema wimbo wa mende anafikilia kuutoa baada ya mwezi mtukufu wa ramadhani unaotarajia kuanzi mwanzoni mwa mwezi huu

“Wimbo wangu wa chura umefungiwa sasa hivi nakuja na wimbo unaitwa mende nimepanga kuutoa baada ya Ramadhani”

Wimbo wa chura umefungiwa baada ya serikali kuona auna maadili ya kitanzania kutokana na jinsi wimbo huo uluvyoimbwa na video ya wimbo huo kudhihilisha kuwa wimbo auna maadili.

Wastara Blog

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364