Picha: Niva Aibuka Kariakoo na Kutoa Zawadi Kwa Mashabiki
Staa wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva’ siku ya jana aliwahangaza wengi kwa kitendo cha kutembelea maduka ya filamu kariakoo na kusaidia kuuza a filamu yake ya Kisanga nae Mwana ambapo alitoa zawadi za T-Shirt za filamu yake hiyo na Radio za solar kutoka steps solar kwa mashabiki.
Filamu ya Kasanga Naye Mwana ambayo imewajumuisha kwalaki wengi akiwemo Gabo Zigamba imeigia sokoni hivi karibu
Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.