-->

Picha: Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi Leo

Leo staa wa Bongo Movie,  Shamsa Ford  filamu anafunga ndoa na mfanyabiashara wa nguo, Chidi Mapenzi.nyumbani kwao Sinza Afrikasana jijini Dar es salaam.

SHAMSA FORD22434 SHAMSA FORD22

shamsa33

Tunawatakia kheri na baraka katika ndoa yao.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364