Pichaz: Ujio wa Mpya wa Wema Sepetu Instagram, Afunguka Haya
Staa mwenye jina kubwa hapa bongo,Wema Sepetu kwa mara ya kwanza mkwa huu, ameweka post yake ya kwanza kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, baada kufuta post zote kwenye ukurasa wake huo wenye followers zaidi ya milioni mbili na nusu hapo mwezi desemba mwaka jana.
Wema amewaahidi mambo mazuri mashabiki wake ndani ya mwaka huu.
Happy 2017… and am excited.. how Many Likes?? Share from. This one and am gonna Tell You something to Celebrate for the whole Year…. #WSSoCloseToYou #WSladieschoice #WSyourAddiction
#unataka kusikia jambo zuri kutoka kwangu kwa mwaka 2017? Gonga Likes za kutosha and nitarudi kukung’ata sikio… This be your First Image…. There is plenty of these Just for You…. I missed You
Hayo nimaneno ya Wema Sepetu aliyoandika kwenye post yake ya kwanza.