-->

Picha: Wasanii wa Filamu Wafanya Misa Kumukumbuka Rachel Haule

Wasanii wa filimu nchini wakiongozwa na Odama, Ijumaa hii wamefanya misa ya kumbukumbu ya kifo cha msanii wa filamu Rachel Haule.

recho89

Wasanii mbalimbali kama Ray Kigogo, Odama, Esha Buheti Steve Nyerere, Sabrina Rupia, Maya Mrisho, Senator Msungu Richie Mtambalike, JohariChagula pamoja na Lamata walihudhuia misa hiyo ambayo ilitawala majonzi.

recho9 recho12

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364