-->

Tag Archives: AMANDA

Amanda Abanwa Kuhusu Ukimwi, Afunguka

Post Image

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Amanda Poshi amefungukia taarifa zinazomhusisha yeye kuugua maradhi ya Ukimwi. Amanda amefunguka hayo baada ya kuvuja kwa picha zake zinazomuonesha akiwa amepungua mwili na kusababisha gumzo litawale kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii watu wakihusisha kukonda kwake na ugonjwa huo ndipo mwanahabari wetu alipombana, akafunguka: “Nina desturi ya kupima kila wakati, […]

Read More..

Tattoo Yangu ya Mgongoni Inasema- Amanda

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amesema tattoo yake aliyojichora mgongoni yenye maneno ‘Mapenzi yanauma’ ni kama inasema kwani mwanaume yeyote atakayekuwa naye kimapenzi, akiiona itampa kitu cha kujifunza. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, Amanda alisema alijichora tattoo hiyo baada ya kuumizwa kwa muda mrefu na wanaume, hivyo anaamini atakayefuata hivi sasa, atakuwa […]

Read More..

Le Mutuz Ajitapa Kutoka Kimapenzi na Amanda

Post Image

NISHAI! William Malecela ‘Le Mutuz’ juzikati aliumbuka baada ya kuposti ujumbe kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram, akijitapa kwamba amewahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji maarufu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’, jambo lililosababisha wachangiaji wamshukie vikali kwa maneno ya kuudhi. Katika ujumbe wake, Le Mutuz ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu […]

Read More..

Amanda Atumika kwa Utapeli

Post Image

Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii. Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa […]

Read More..