-->

Tag Archives: CHUCHU

Chuchu Afunguka Kuhusu Weupe wa Mpenzi Wake...

Post Image

Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mpenzi wa Ray Kigosi amefunguka na kusema hapendi watu wanapokuwa wana msema mchumba wake Ray Kigosi kuwa amejichubua na kudai anaamua kupuuza ila huwa hapendezwi na suala hilo.   Chuchu Hans alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWZ jana na kudai kuwa mpenzi wake huyo kwa sasa amependeza kutokana […]

Read More..

Chuchu Azungumzia ‘Usaliti’

Post Image

Mmoja wa waandaaji wa tamthilia mpya ya Usaliti Chuchu Hansi ameeleza kuwa tamthilia hiyo itaanza kuruka Jumanne ya leo saa 09:30 usiku kupitia EATV. chuchu amesema tamthilia hiyo itahusu migogoro ya kimapenzi na usaliti. Chuchu amesema tamthilia hiyo itahusisha wakali kibao wa zamani na wa sasa akiwemo yeye mwenyewe na wengine kama Nyamayao, Thea, Senga […]

Read More..

Chuchu Hans Akanusha Kugombana na Johari Ki...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Chuchu Hans amekanusha kugombana na Johari Chagula baada kuibuka madai kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao hawaelewani kisa Vicent Kigosi aka Ray.   Chuchu aliyesema pia kuwa uhusiano wake na Ray hauna tatizo, amekiambia kipindi Take One cha Clouds TV Jumanne hii kuwa, hana tatizo na Johari na mara nyingi […]

Read More..

Chuchu Hans Akanusha Kuachana na Ray

Post Image

Msanii wa filamu nchini, Chuchu Hans amesema bado yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi na Vicent Kigosi aka Ray licha ya hivi karibuni baadhi ya watu kudai wawili hao hawapo tena pamoja.   Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV Jumanne hii, Chuchu alisema toka aanze kutoka kimapenzi na staa huyo mengi yamezushwa juu […]

Read More..