-->

Tag Archives: RAYC

Ni Bora Nitoke na Msukuma Mkokoteni – Ray C

Post Image

Mwanamuziki ambaye alijipatia umaarufu kutokana na uchezaji wake na kupewa jina la kiuno bila mfupa Ray C amefungukana na kusema kwa sasa hataki kabisa kutoka kimapenzi na msanii yoyote au mtu maarufu. Ray C amesema hayo kupitia kipindi cha eNews na kusema toka ameachana na msanii Lord Eyes hajawahi kuingia tena kwenye mahusiano na kudai […]

Read More..

Nilianguka Bahati Mbaya Kama Binadamu-Ray C

Post Image

Msanii maarufu nchini wa muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila, amesema watu wasimhukumu kwa hali aliyo nayo sasa kwani alianguka kama binadamu wengine . Ray C ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na kituo cha EATV . ”Nilianguka bahati mbaya kama binadamu wengine ,nikajitambua sasa nipo vizuri naendelea na maisha […]

Read More..

Ray C Afungiwa Hospitalini

Post Image

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ anadaiwa kuwekwa chini ya uangalizi maalum akiwa amefungiwa kwenye Hosptali ya Mwanayamala, Dar baada ya madai ya kurudia matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’. Chanzo makini cha Ijumaa Wikienda kilimshuhudia Ray C akiwa kwenye wodi maalum ya waathirika wa unga huku mama yake mzazi akiwa anamuangalia wakati […]

Read More..

Ray C Kayaandika Haya Baada ya Kuhusishwa T...

Post Image

Msanii mrembo wa Bongo fleva Ray C leo ameonyeshwa kukwazwa na moja ya habari zilizoandikwa kenye moja ya kurasa za magazeti Bongo, na hiki ndicho alichokiandika. “Seriously kwa kweli huwa naumia sana sana kuona binadam mwezangu anadiriki kuniharibia jina langu ilj yeye apate kula!hamjui mnaniathiri kiasi gani na hizi habari zenu?Hivi unadirikije kuandika usengwile kama huu […]

Read More..