-->

Uchaguzi wa Meya Jiji la Dar Waahirishwa

3.Baadhi ya Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Madiwani na wabunge wa jiji la Dar mda mfupi baada ya kuahirishwa uchaguzi huo. Baadhi ya Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Madiwani na wabunge wa jiji la Dar mda mfupi baada ya kuahirishwa uchaguzi huo.4.Mwenyekiti wa Madiwani na Wabunge wa Ukawa,Manase John Mjema akitoa taarifa yake mbele baada ya kuahirishwa uchaguzi huo. Mwenyekiti wa Madiwani na Wabunge wa Ukawa, Manase John Mjema akitoa taarifa yake mbele baada ya kuahirishwa uchaguzi huo.5.Hali ilivyoonekana nje ya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar, baada wanachama wa CCM kuondoka eneo hilo. Hali ilivyoonekana nje ya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar, baada wanachama wa CCM kuondoka eneo hilo.5.Mbunge wa Jimbo la Kibamba,John Mnyika (mbele) akiwaeleza wafuasi wa Ukawa maazio yao juu ya Uchaguzi huo.Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika (mbele) akiwaeleza wafuasi wa Ukawa maazio yao juu ya Uchaguzi huo.1.Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika viwanja vya kari Mjee Dar.Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika viwanja vya Karimjee Dar.2.Wafuasi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi wakitoka ndani ya Ukumbi wa Karim Jee baada ya kumaliza kikao chao kifupi wakati ulipokuwa umeahirishwa.Wafuasi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakitoka ndani ya Ukumbi wa Karimjee baada ya kumaliza kikao chao kifupi wakati ulipokuwa umeahirishwa.DSC_0791

Tangazo lenye zuio la mahakama la kuzuia uchaguzi huo kwa muda.

UCHAGUZI wa Meya jiji la Dar es Salaam, uliokuwa ufanyike leo kwenye Ukumbi wa Karimjee, umeahirishwa tena mpaka itakapotangazwa siku nyingine.

Akitangaza kuahirisha uchaguzi huo, Mwenyekiti wa uchaguzi huo Theresia Mbwambo amesema kuwa, sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo ni kutokana na baadhi ya watu kufungua kesi mahakamani kuzuia uchaguzi huo. Hivyo akasema sababu ni court injuction yaani pingamizi la mahakama.

Baadhi ya wabunge na madiwani kutoka vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamepinga vikali kuahirishwa mara kwa mara uchaguzi huo huku wakiahidi kwenda mahakamani Jumatatu ili kufungua kesi ya kupinga kuahirishwa kwa uchaguzi huo.

Kwa mujibu wa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu, amesema hawakubaliani na sababu zilizotajwa za kuahirisha uchaguzi huo na ksisitiza kuwa watakwenda mahakamani kupinga hatua ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo.

NA DENIS MTIMA/GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364