-->

Ujumbe wa Lulu Tunapoelekea Kuumaliza Mwaka Huu

Elizabeth Michael ‘Lulu’

Elizabeth Michael ‘Lulu’

Mwaka huu ulikuwa mzuri au mbaya Kwa kila mmoja wetu….Katika MAZURI SHUKURU Na hata katika MABAYA Na ya KUUMIZA pia MSHUKURU MUNGU.
Tunapoelekea Kumaliza mwaka hiyo tu ni sababu tosha ya kuonyesha ni jinsi gani Una thamani mbele ya Mungu wako wala hutakiwi Kuwaza nani anakuona nini.
Nimejifunza na Ninaamini Kuna Nguvu,Msamaha,Kuongezwa,Kuzidishwa,Kuponywa na Mengine mengi ndani ya SHUKRANI.

Elizabeth Michael ‘Lulu’ @elizabethmichaelofficial on instagram

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364