-->

“Usimkataze msanii kuimba kibamia, jamii ikifuata maadili wasanii watafuata” Nikki wa Pili

Kupitia ukurasa wa instagram wa msanii Nikki wa Pili ambaye ni moja kati ya wasanii wa Hiphop wanaounda Kundi la Weusi, amepost maoni yake kuhusu suala la maadili kwa wasanii, ambalo limeanza kufanyiwa kazi na Naibu Waziri wa wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kwa kufungia baadhi ya kazi zilizokosa maadili..

Niki wa pili alizungumza kwa mtazamo wake kwa kusema kuwa kama wanahoji maadili ya wasanii watazame na maadili ya Demokrasia, Uchumi ndipo warudi kwa wasanii lakini pia amezungumzia wimbo wa NICOME unavyojadiliwa kuwa umekosa maadili.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364