-->

Erick Omondi na Unanitekerenya Ukinyonga -THE BOY FROM TANDALE

Mchekeshaji wa Afrika Mashariki , Erick Omondi kutoka Kenya, leo January 16 katuletea  “COVER” ya nyimbo za Mkali wa bongoflava,THE BOY FROM TANDALE ambaye sio mwingine bali ni Diamond Platinum (Chief Dangote). Msanii huyu amekuwa akiziigiza nyimbo nyingi sana za wasanii akiwemo Diamond, Alikiba na wengineo wengi.

Ukitakia kufaidi uondo zaidi wa Video yake hii aliyoitoa leo basi usiache kuitazama hapa chini. Kama unacomments zozote kwake sio vibaya ukatupia hapa chini baada ya kuitazama video yake

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Hi there!

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364