-->

VIDEO: Majibu ya Hussen Bashe Kuhusu Kushikiliwa na Polisi

Baada ya taarifa za jana kusambaa zikidai wajumbe wawili wa halmashauri kuu Taifa ‘nec’  na mbunge mmoja akiwemo mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe wanahojiwa na jeshi la polisi Dodoma kwa madai ya kutaka kufanya vurugu na uchochezi katika vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma.

Leo March 12 2017 nje ya ukumbi wa CCM Hussein Bashe ameonekana akiwasili kwenye ukumbi huo kwa ajili ya mkutano maalumu wa CCM na akafanyiwa mahaojiano na Azam TV na moja ya swali aliloulizwa ni kuhusu kushikiliwa na polisi na amesema yeye sio msemaji bali katibu mkuu atazungumza yote.

MillardAyo

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364