-->

Wolper Akiri Kujipendekeza kwa Diamond na Zari

wolper11

BAADA ya kupata wakati mgumu wa kushambuliwa na maneno kila akiweka picha mtandaoni ya Diamond ama Zari, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ ameweka wazi kwa kuwajibu, haoni tatizo kujipendekeza kwa hao watu.
Akichezesha taya na Amani, Wolper alisema kuwa, ilifika kipindi katika ukurasa wake wa Instagram watu wengi walikuwa wakimshambulia kwa maneno na kufikia hadi hatua ya kumtukana.
“Kiukweli mimi ni binadamu, nashangaa ukiweka picha ya mtu ooh, anajipendekeza ni sawa najipendekeza ndiyo na wala siyo uongo lakini kuna mtu ambaye inamuhusu?” Alihoji Wolper

Siku ya jana kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Wolper kwa mara nyingine aliweka picha hiyo hapo chini ya Diamond na zari pamoja na tiffah kisha akandika;

ZARI56

Nimejisikia kupost na ninapost!Nipo kwenye dunia yangu ya kujipendekeza km mnavyosema…!Hao hapo wakina nani hao??basi kuna watu kama nawaona mnavyo screenshot…!Wambea msisahau kuitana…Sema kwa ninae mkeraaa naomba asinisamehe maana binafsi sijajisamehe kupost hao watu….!Kitu kingine Am in Love Are u in Love????Haya wacha nifanyiwe massage kidogo na bebe nyie endeleeni kuchimba dawa kwenye post yangu…Ooopsss i mean kuchimba maneno…!???

GPL

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364