-->

Zari Awakosha Mashabaki wa Penzi Lake na Diamond

Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake mtandaoni akiwa kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote za nyumbani kitendo ambacho kimewafanya mashabiki kumwagia sifa kuwa ni mwanamke anayeyaweza maisha yote tofauti na wengi walivyokuwa wakimfikiria hapo zamani.

Katika kunogesha Zari ame-edit picha ya diamond na kujiweka , kisha kaiweka na kuandika;

diamond31

Mmmmmh…. Ooh Ghafla visenti hana tumerudi Tandalee…. beautiful song, beautiful message, beautiful video #Utanipenda- Zari

Baadhi ya picha za Zari akiwa kijinini.

zari12 zari032 zari88

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364