Zari the Bosslady: Uraia wa Nillan ni ‘Complicated’ Kidogo (Video)
Kwenye mahojiano yake na Dizzim Online, mchumba huyo wa Diamond amesema pindi tu mtoto wake amezaliwa huko nchini Afrika Kusini, alipewa uraia wa nchi hiyo.
“Yaani hiyo iki complicated because amezaliwa kule akapata immediate citizenship lakini vile amerudi nyumbani sasa hivi tutarudisha ile citizenship ya South Africa halafu atachukua ya Tanzania,” alisema Zari.