-->

Zitto Alia na Serikali Ugumu wa Maisha

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe amefunguka na kuililia serikali juu ya ukali wa maisha nchini kufuatia gharama za maisha kupanda.

Zitto Kabwe

Mhe. Zitto Kabwe ameitaka serikali ifanye juhudi na jitihada kupunguza au kumaliza kabisa ukali wa maisha kwa wananchi kwani

“Mtwara unga wa ugali ( sembe) Sasa tshs 2000 – 2200 kwa kilo moja. Gharama za maisha ya mwananchi zimeongezeka sana kutokana na uhaba wa chakula maeneo mengi ya nchi yetu. Juhudi zifanyike kupooza ukali huu wa maisha unaokabili wananchi” alisisitiza Zitto Kabwe.

Baadhi ya wananchi waliungana na Mhe. Zitto Kabwe juu ya kupanda kwa bei ya unga na katika maeneo yao kama ifuatavyo.

eatv.tv

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364