-->

Diamond Kuachia Wimbo wa Kurap Uitwao ‘Simba’

Staa wa muziki Diamond Platnumz amejipanga kuachia wimbo mpya wa kurap uitwao Simba.

diamond32

Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Meneja wa msanii huyo, Babu Tale alisema wimbo huo utakuwa sio wa biashara bali ni zawadi kwa mashabiki.

“Kama Hip Hop ni biashara Diamond amefanya wimbo wa kurap lakini hatujauchulia kama ile ni biashara, wimbo umeshaisha na unaitwa Simba,” alisema Babu Tale.

Diamond kwa sasa anafanya poa na video ya wimbo ‘Make Me Sing’ akiwa na AKA wa Afrika Kusini.

Angalia video yake kwenye site ya www.videozetu.com ->>http://bit.ly/1WRJpKd

 

Bongo5

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364