-->

Daily Archives: December 15, 2015

Waziri Mkuu, Majaliwa Aitisha Kikao na Bara...

Post Image

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.

Read More..

Wolper asaidia wananchi wa Golani Kimara

  “Kuanzia mwaka juzi nimekua na desturi ya kushirikiana na watu siku yangu muhimu ya kuzaliwa Mwaka juzi nilipata nafasi ya kukaa na watoto yatima na mwaka jana kituo cha wazee Mwaka huu nimeamua kugusa maisha ya watu wengi zaidi Kwahivyo kwa kutafakari jinsi gani tatizo la maji ni kubwa, nimeamua kutumia kidogo nilichonacho kujenga […]

Read More..

Picha: Irene Uwoya Akiwa mtoto wake, Krish ...

Post Image

Kila Mtu Amesema Lake Kuhusu Picha Hizi, Ila Kama Wewe Umezipenda Usisite ku-LIKE na Ku-SHARE

Read More..

Nape Anastahili- Mike Sangu

Post Image

  MWIGIZAJI wa kiume katika tasnia ya filamu Michael Sangu ‘Mike’ amefunguka kwa kuwashangaa watu wanaoponda uteuzi wa waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na michezo Mh. Nape Nnauye kwa kusema kuwa hawamjui vizuri wanatakiwa wafahamu ni mtu makini na anastahili. Huwezi kuponda tu kwa sababu zako binafsi mimi ninamfahamu kiongozi Nape ni mtu makini na […]

Read More..

JB: Chungu cha Tatu ni Filamu Ghali Zaidi

Post Image

  MSANII wa filamu nchini, Jacob Stephen ‘JB’, amesema kuwa filamu yake mpya ya Chungu cha tatu aliyomshirikisha mwanadada Wema Sepetu imetumia gharama kubwa zaidi kuliko filamu zote zilizotengenezwa chini ya kampuni yake ya Jerusalem. Akizungumza na MTANZANIA juzi, JB alisema ametumia gharama kubwa katika kufanikisha kuitengeneza filamu hiyo. “Nikisema nitaje gharama iliyotumika na niliyowalipa […]

Read More..