-->

Daily Archives: December 17, 2015

Filamu ya Catherine ni Hatari Hapa Wolper, ...

Post Image

KAMPUNI ya PDM Movie ya jijini Dar es salaam inarajia kutoa bonge la filamu kali na ya kusisimua ijulikanayo kwa jina la Catherine akiongea na FC mkurugenzi wa kampuni hiyo Saprima amesema kuwa sinema hiyo ni nzuri sana na inatoa mafunzo kwa jamii kwani wasanii walioshiriki katika filamu hiyo wenye vipaji. “Catherine ni filamu nzuri […]

Read More..

Nora Adaiwa Kuwa Chizi Tena!

Post Image

NURU Nassoro ‘Nora’ ambaye ni mwigizaji wa kitambo Bongo,anadaiwa kuugua uchizi kwa mara nyingine tena, jambo ambalo amelipinga vikali na kwamba wabaya wake wameendelea kumtakia mabaya katika maisha yake, lakini yuko safi na anaendelea na maisha yake. Mwanzoni mwa wiki hii, mmoja wa rafiki zake wa karibu aliliambia gazeti hili kuwa, uzushi na uvumi huo […]

Read More..

Haya Ndiyo Maneno ya Diamond kwenda Kwa Dr....

Post Image

Staa wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na kibao cha Je Utanipenda, Diamond Platinum amemtakia kheri na Baraka mtaalamu wa dawa za tiba mbadala kwa magonjwa ya kinamama, Dr J J Mwaka wa kituo cha Foreplan Herbal Clinic kutokana na mchango wake kwenye kusaidia mziki wa kibongo. Mbali na Dokta huyo kukabiliwa na changamoto kubwa […]

Read More..

Lulu Afunguka Juu ya Mahusiano ya Jux na Va...

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kusema yake ya moyoni kuhusiana na mahusiano ya mastaa wawili wa bongo fleva, Jux na Vanessa kwa kuandika maneno haya kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram mara baada ya kuweka picha ya wawili hao. “You can’t Stop Loving Short Girls ???Ukiona nakudanganya Kamuulize Anko Will […]

Read More..

Tamthilia ya Mama Kubwa Mbioni Kukamilika

Post Image

TAMTHILIA mpya iliyopewa jina la Mama Kubwa inayoandaliwa na Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, ipo mbioni kukamilika baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu na kuna uwezekano wa kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza na MTANZANIA jana mmoja wa waandaaji hao ambaye pia ni mmiliki wa kampuni hiyo, William Mtitu, alisema anaamini kazi hiyo […]

Read More..