-->

Daily Archives: December 21, 2015

Wema Atimuliwa Kwenye Nyumba

Post Image

UFALME umeanguka! Unaweza kusema hivyo! Hatimaye Miss Tanzania 2006, aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu amedaiwa kutimuliwa kwenye nyumba ambayo alipanga kwa mbwembwe na kualika waandishi wa habari ili watoe ‘nyuzi’ hewani, akidai ni yake kwa kuinunua kwa shilingi milioni 280, fuatana na Ijumaa Wikienda. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, […]

Read More..

Picha: Fashion Show ya Kwanza ya Wanawake W...

Post Image

Kwa mara ya kwanza mbunifu mkubwa wa mavazi, Mustafa Hassanali akiwa na mwanamtindo maarufu hapa Bongo, Jokate Mwegelo siku ya jana waliandaa onyesho la mavazi ya kanisani kwa wakinamama yaliyofanyika kwenye ukumbi wa kardinali Rugambwa jijini Dar es salaam, ambapo Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ndiyo alikuwa mgeni rasmi wa onyesho hilo. Hizi ni baadhi ya […]

Read More..

Tuzo za H.Baba na Familiya Yake Zafanyika J...

Post Image

Msanii wa muziki H.Baba akishirikiana na mke wake Flora Mvungi  jana Dec 20 Jumapili wamefunga ukame wa tuzo kwa kutoa tuzo zao baada ya kuona kila mmoja kati yao ana mchango kwenye muziki na Filamu. Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika tukio hilo. Chanzo:millardayo.com

Read More..

Maneno Haya ya Lulu Kwenye Picha Hii ya Waa...

Post Image

Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kummwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) […]

Read More..

Irene Uwoya Awataka Wasanii Kujiingiza Huk...

Post Image

MKALI wa filamu nchini, Irene Uwoya, amewataka wasanii wenzake hasa wanawake kujituma katika kazi nyingine kama vile biashara ili kuweza kujikomboa kimaisha. Irene amesema wasanii wengi wanategemea sanaa ili kuweza kuendesha maisha yao, lakini wanatakiwa kufanya mambo mengi ili kuweza kujiingizia kipato. Akizungumza na MTANZANIA jana alisema yeye ana ofisi ambayo inajishughulisha na ushonaji wa […]

Read More..

Mchuano Mkali TDFAA 2015, Jimmy Mafufu, Mik...

Post Image

MCHUANO mkali katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama cha waigizaji Taifa (TDFAA) huku wasanii wenye ushawishi kwa wasanii wenzao wakijitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo anasema katibu Twiza. “Mchuano ni mkali kila mhusika amepanga kuwa ni mshindi katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya uenyekiti Kitaifa kwa chama cha Waigizaji, hadi sasa […]

Read More..