-->

Daily Archives: December 27, 2015

Hivi Ndivyo Lulu Alivyosherekea Krismasi Ny...

Post Image

Staaa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ilimbidi afunge safari hadi mkoni Kilimanjaro kwenye kula siku kuu ya Krismasi mwaka huu. Akiwa yeye pamoja na wazazi wake wote wawili Lulu ameshare nasi picha hizi kupitia ukurasa wake mtandaoni. “Niko Na Baba Mkweeee?ooopssss I mean Baba Angu??hadi vidole sikuhizi havina mfupa”- Lulu aliandika kiutani kwenye […]

Read More..

Hivi Ndivyo Staa Diamond Akiwa na Mama Tiff...

Post Image

MAISHA YA KISTAA: Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum amesherekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama mtoto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen. Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka  […]

Read More..

Chilwa Kutoa Upapa Kula Dagaa Katika Tasnia...

Post Image

TUPO katika mchakato wa uchaguzi wa vyama vinavyounda shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) tukiangazia uchaguzi wa chama cha waigizaji Taifa TDFAA huku kila mgombea akijinadi kwa madaha na leo hii FC iliongea na Salum Hussein Chilwa akiitaka nafasi hiyo na kumwaga sera zake kwa wapiga kura wake. Chilwa ambaye alikuwa makamu mwenyekiti wa chama cha […]

Read More..

Picha:Hiki Ndicho Alichokifanya Diamond Nd...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alifanya  shoo baab’kubwa usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam. Na hizi ni baadahi ya picha za shoo hiyo.

Read More..

Mastaa: Magufuli Ametuua kwa Njaa

Post Image

Jambo limezua jambo! Kufuatia tumbuatumbua inayoendeshwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa vigogo waliokuwa wanawapa jeuri mastaa wa kike mjini, wenyewe wameibuka na kusema kiongozi huyo ‘amewaua’ kwa njaa. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa mastaa wengi wa kike wanalalamika njaa na ndiyo maana tangu alipoingia madarakani Rais Magufuli na kuanza kuwaondoa mafisadi, wasanii […]

Read More..