-->

Daily Archives: March 4, 2016

Sipendi kuisikia ‘DSM Stand Up’ – Chid Benz

Post Image

Msanii Chid Benz amesema huwa hapendi kuisikiliza nyimbo yake ya Dar es salaam Stand Up na kwamba hata anapo ‘perform’ jukwaani hujisikia vibaya. Chid Benz ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema ukubwa wa wimbo huo unamuumiza hisia zake, hivyo hujisikia vibaya kila anapousikiliza. “Hii nyimbo […]

Read More..

Flora Mbasha Akimbilia Kenya

Post Image

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, Flora Mbasha, amekimbilia nchini Kenya kurekodi albamu yake mpya anayotarajia kuipa jina tofauti na nyimbo zitakazokuwa katika albamu hiyo. Mwimbaji huyo ambaye kwa sasa amefungua darasa la kufundisha uimbaji wenye mafanikio, alisema albamu hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni mwishoni mwa Machi, imerekodiwa nchini humo kwa lengo la kubadili ladha ya […]

Read More..

Ndoa za Mastaa Ndoa Ndoano!

Post Image

MAPENZI matamu bhana, asikuambie mtu. Katika ulimwengu wa mastaa, hasa masuala ya mapenzi hutawaliwa na mikasa mingi. Hata hivyo, kuna wakati katika kuhakikisha wanawekana sawa kwenye masuala hayo ya mapenzi, mastaa hukubali kuwa wapole kwa wenzi wao ili mambo yaende sawa. Makala haya yanakuletea orodha ya mastaa wa Kibongo ambao katika harakati za kusaka ndoa […]

Read More..

Afya ya Mr. Nice Kuteteleka… Simulizi Yak...

Post Image

SIKU chache baada ya kusambaa kwa picha yake inayomuonesha akiwa amepungua mwili na kuzua mjadala mitandaoni huku wengi wakimuonea huruma, mkongwe wa Muziki wa Takeu, Lucas Mkenda ‘Mr. Nice’ ameibuka na kufungukia afya yake. Picha inayomuonesha Nice akiwa amepungua mwili ilizagaa mapema wiki hii kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi waliochangia mjadala wa picha hiyo, […]

Read More..

Maya: Naitamani Sana Ndoa na Watoto Wawili...

Post Image

Kama kawa, kama dawa! Wiki hii tunaye mwanadada wa ‘long time’ kwenye tasnia ya filamu Bongo. Wengi wanamjua kwa jina la Maya lakini jina lake kamili ni Mayasa Mrisho. Paparazi wetu, Hamida Hassan alikutana naye kitaani na kumbana kwa maswali 10. Natumaini una hamu ya kujua kaulizwa maswali gani na yeye akayajibu vipi, kama jibu […]

Read More..

Sina Mpango wa Kumtafuta Said Fella -Juma N...

Post Image

Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Juma Nature, amesema hawezi kumfuata bosi wake wa zamani Said Fella kumtaka afanye nae kazi tena kama zamani. Nature maarufu kama kiroboto ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha E News kinachorushwa na EATV na kusisitiza kuwa kama hajafuatwa yeye hawezi kwenda kumuomba afanye naye kazi. ”Mimi […]

Read More..