-->

Daily Archives: March 11, 2016

Maneno Haya ya Lulu Yamewagusa Wengi

Post Image

Siku utakayojua kusudi La wewe kuwepo duniani pengine ndo siku utakayojua umepoteza muda kiasi gani kufatilia mambo ya wengine,kujilinganisha na wengine,au kufanya mambo yasiyo na faida ktk maisha yako,Hakuna aliyekuja duniani kwa bahati mbaya ipo sababu ya uwepo wako…fanya jitihada za kujua hyo sababu…ukishajua Tu utakuwa busy sana kuhakikisha unafikia malengo uliyokusudiwa automatically utajikuta unakuwa […]

Read More..

Nilimpenda Jackie Cliff Ila Sitarudiana Nae...

Post Image

Msanii Jux ambaye kwa sasa yupo kimahusiano na Vanessa Mdee, amefunguka na kuweka wazi sakata ambalo lilimkuta mpenzi wake wa zamani anayefahamika kama Jackie Cliff na mahusiano yake na model huyo. Kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na EATV Jux alikiri wazi kuwa alikuwa akitoka kimapenzi na Jackie Cliff na kusema alikuwa anampenda sana licha ya […]

Read More..

Baba Mzazi wa Lulu Yupo Tayari Kupokea Maha...

Post Image

Baba yake Lulu ameongea na E-newz na kutufahamisha bado hajapokea mahari ya mwanae na yupo tayari kupokea mahari, hivyo E-news imeamua kuutoa ujumbe huu wa baba Lulu. Huku wengi wakidhani kuwa ujumbe huo unaweza kumfikia mtu mzima Majey ambaye kwa sasa wapo kwenye mahusiano na Lulu.  

Read More..

Madam Ritha: Wasanii Tumieni Fursa ya Vingâ...

Post Image

MKURUGENZI wa Kampuni ya upigaji picha za video ya Benchi Mark Production, Ritha Paulsen, amewataka wasanii watumie fursa ya wingi wa ving’amuzi na vyombo vya habari kwa kuzalisha bidhaa bora na za nyumbani. Ritha alisema kutokana na wingi wa ving’amuzi kwa sasa, uhitaji wa vipindi vya nyumbani ni mkubwa, hivyo wasanii na maprodyuza wa video […]

Read More..

Mr. Blue na Ndoto za Kupiga Mzigo na Wiz Ki...

Post Image

MR Blue ni moja ya vichwa vikali kwenye Tasnia ya Muziki wa Hip Hop Bongo. Jamaa anajua sana, kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Baki Na Mimi, amekaa kwenye gemu kwa muda mrefu bila kuchuja, sasa ni zaidi ya miaka 13, ambapo anasema ndiyo kwanza anaanza maana kuna vitu vizuri vingi amepanga kufanya katika […]

Read More..