-->

Maneno Haya ya Lulu Yamewagusa Wengi

lulu63211

Siku utakayojua kusudi La wewe kuwepo duniani pengine ndo siku utakayojua umepoteza muda kiasi gani kufatilia mambo ya wengine,kujilinganisha na wengine,au kufanya mambo yasiyo na faida ktk maisha yako,Hakuna aliyekuja duniani kwa bahati mbaya ipo sababu ya uwepo wako…fanya jitihada za kujua hyo sababu…ukishajua Tu utakuwa busy sana kuhakikisha unafikia malengo uliyokusudiwa automatically utajikuta unakuwa busy na mambo yako wala Huna muda na watu,utajikuta huyumbishwi na maneno wala mazingira magumu Yoyote….usipojua kusudi la wewe kuishi utajikuta una spend asilimia kubwa ya maisha yako katika maisha ya wengine?wakati unaowafatilia wanafika kwenye malengo Yao ww Bdo umekwama tu..!
Mabadiliko hayana Muda maalum…Mabadiliko yanahitaji Utayari wako Tu..!
Tulale Salama…!
#RuleNumber1(YOU VS YOU)usishindane na mtu shindana na wewe uliyekuwa jana usiwe leo?

Elizabeth Michael ‘Lulu’  @ elizabethmichaelofficial on instagram

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364