-->

Daily Archives: March 12, 2016

Watu Wamejifunza Kutoka Kwangu – Matonya

Post Image

Matonya ameyasema hayo alipokuwa akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa yeye kama msanii kuna mambo mengi ambayo watu huiga kutoka kwake, kutokana na ushawishi mkubwa alionao kwa jamii. “Unajua tumebarikiwa na nguvu, tuna upendo mkubwa sana kwa watu kiukweli lazima tujue ndio maana kila ninachokifanya najitahidi kiwe kizuri kwa jamii, […]

Read More..

Filamu ya Mwezai Mchanga Wiki Ijayo Mtaani!

Post Image

ILE Filamu ya Mwezi Mchanga inayoshirikisha wasanii Nyota katika tasnia ya filamu inatoka wiki ijayo siku ya Alhamisi mwezi March na kusambazwa nchini nzima chini ya Kampuni ya usambazaji wa filamu Bongo ya Splash Entertainment amesema Steven Selenge. “Filamu ya Mwezi Mchanga inatarajia kutoka mwezi huu siku ya Alhamisi na itapatikana nchi nzima katika maduka […]

Read More..

Lulu Afungukia Madai ya Kutoka Kimapenzi n...

Post Image

Mshindi wa tuzo ya AMVCA 2016, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amefunguka na kuelezea mahusiano yake na CEO wa EFM, Dj Majay baada ya hivi karibuni kuonekana kuwa karibu zaidi. Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live cha East Africa Television Ijumaa hii, Lulu alisema kama ni kweli yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na Majay basi mashabiki […]

Read More..

Faiza Aonya Mastaa Kuibiana Mabwana

Post Image

MREMBO ambaye jina lake lilivuma zaidi baada ya kutinga na ‘pampers’ kwenye sherehe yake ya kuzaliwa, Faiza Ally, amewaonya mastaa wenzake kuacha kutafuta umaarufu (kiki) kwa kuibiana mabwana. Akizungumza na mwandishi wetu, Faiza ambaye ni mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, alisema anatambua mastaa wengi ustaa wao hauji kwa kufanya […]

Read More..