-->

Daily Archives: March 14, 2016

MAKALA: Lulu, Kupanda, Kushuka na Kuibuka T...

Post Image

Dar es Salaam. Alikuwa anatambulika kutokana na uigizaji wake tangu akiwa binti wa miaka mitano na umahiri wa kuvaa vyema uhalisia wa nafasi anazopewa kuigiza, jambo lililomtengenezea mashabiki wengi. Umaarufu hauna tofauti na mvua za masika ambazo zinaweza kuleta neema au maafa kwa mafuriko. Wanaomfahamu Lulu tangu akiigiza kama mtoto katika tamthilia za Kundi la […]

Read More..

Tupeni Uhuru Tufanye Yetu – Richie

Post Image

Msanii wa filamu Tanzania ambaye juzi ameiwakilisha vizuri nchi na kutwaa tuzo nchini Nigeria Single Mtambalike au Richie, ameiomba serikali kuwapa uhuru katika kazi zao ili wapate uhalisia wa matukio. Akiongea kwenye kipindi cha WeekendBreakfast juma pili kinachorushwa na East Africa Radio, Richie amesema kitendo cha wasimamizi wa kazi za sanaa kufungia baadhi ya kazi […]

Read More..

Samatta Azidi Kutikisa Nyavu Ulaya

Post Image

Mshambuliaji wa Tanzania Mbwana Ally Samatta nyota yake imezidi kung’ara baada ya kuifungia klabu yake ya KRC Genk bao dhidi ya Club ya KV Oostende katika ligi kuu ya Belgium Pro League. Samatta alifunga goli hilo dakika ya 24 ambapo ni mara yake ya kwanza kuingizwa katika kikosi cha kwanza (first eleven) katika timu hiyo. […]

Read More..

Kayumba: Sikujua Kama Fella na Tale Watamsi...

Post Image

From zero to hero. Kwa sasa huo ndio msemo ambao Kayumba atakuwa anautaja kila siku.   Baada ya kuachia wimbo ‘Katoto’ na kuzidi kufanya vizuri kwenye media na video yake kuwa na ubora, mshindi wa BSS season 5, Kayumba Juma amesema hakujua kama Fella na Tale watakuwa wasimamizi wakuu wa mshindi wa BSS. Akiongea na […]

Read More..

Babu Seya, Papii, Mapokezi ya Kifalme

Post Image

DAR ES SALAAM! Inawezekana ikawa habari njema kwa mashabiki wao kusikia kwamba familia ya mwanamuziki aliyefungwa maisha jela kwa kosa la kuwanajisi watoto 9, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, ipo katika maandalizi makubwa ya kuwapokea kifalme wawili hao mara watakapotoka gerezani, Risasi Jumamosi lina habari kamili. Nguza Vicking ‘Babu Seya’ […]

Read More..