-->

Daily Archives: March 15, 2016

Mama Diamond Atoa Siri ya Zari

Post Image

Mama mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ametoboa siri ya mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kushindwa kuishi Bongo na badala yake kukimbilia nchini Afrika Kusini ‘Sauz’. Sandra au Mama D aliyasema hayo katika mahojiano maalum na Ijumaa Wikienda juu ya uhusiano wake na Zari kufuatia tetesi […]

Read More..

Masanja: Sikukurupuka Kugombea Ubunge Ludew...

Post Image

Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji amesema akukurupuka kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa, mkoani Njombe kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo Deogratius Filikunjombe kufariki kwa ajali.   Akizungumza katika kipindi cha Uhondo cha EFM Alhamisi hii, Masanja alizungumzia kitu ambacho kilimkwamisha kupata didhaa ya kugombea ubunge kupitia chama hicho. […]

Read More..

Kayumba Ataja Matumizi ya Milioni 50

Post Image

Baada ya mshindi wa Bongo Star Search, Kayumba Juma kushinda kiasi cha pesa za kitanzania Milioni 50 bado ameonekana kukaa kwenye kambi ya Mkubwa na Wanawe. Stori zinazo endelea mtaani juu ya mshindi wa Bongo Star Search Kayumba Juma ni kuwa toka ashinde shindano hilo na kukabidhiwa milioni 50, bado anaishi kwa kufadhiliwa katika kituo […]

Read More..

Sijawahi na Sitokuwa na Mpenzi Mcongo -Wema...

Post Image

Muigizaji mwenye umaarufu mkubwa kwenye filamu za kibongo Wema Sepetu, amemkana raia wa Kongo ambaye watu wengi wanadai ana mahusiano naye ya kimapenzi. Katika ukurasa wake wa instagram Wema Sepetu ameandika juu ya taarifa hiyo na kusema kuwa hana mahusiano na raia huyo mkongo anayejulikana kwa jina la Apocalypse, sipokuwa anamfahamu kama rafiki tu kwake. […]

Read More..

Msaga Sumu: Sikunufaika na Wimbo Wangu wa K...

Post Image

MSANII wa nyimbo za Uswahilini ‘Kigodoro’, Seleman Jabir ‘Msaga Sumu’, ameweka wazi kwamba licha ya kupata jina kubwa katika kampeni za urais na wabunge mwaka 2015, lakini hakunufaika na wimbo aliowatungia wagombea hao. Msaga Sumu aliweka wazi hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa, Dimba na The African zilizopo Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam. Msanii huyo […]

Read More..