-->

Daily Archives: March 16, 2016

Lulu Azuiwa Kuingia Ikulu

Post Image

Imefichuka! Baada ya kuitwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kupongezwa kutokana na tuzo aliyopata nchini Nigeria, staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alijikuta akihaha baada ya kuzuiwa kuingia Ikulu kutokana na kutokuwa na kitambulisho cha chama cha waigizaji. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba Lulu alijikuta katika wakati mgumu kwani utaratibu wa […]

Read More..

Idris: Uhusiano Wangu na Wema ni ‘Privat...

Post Image

Hutoona tena Idris Sultan na Wema Sepetu wakionesha upendo hadharani kama zamani kwakuwa wameamua kuuweka ‘private’ kwa sasa. Mshindi huyo wa BBA 2014, ameiambia Bongo5 kuwa angependa zaidi kwa sasa kujikita kwenye kazi zake kuliko kuufanya uhusiano wao uwe mjadala mkubwa. “Sipendi uhusiano wangu uwe kitu kikubwa kuliko kazi yangu kwa sasa,” alisema. Hata hivyo […]

Read More..

Movie ya Mama kijacho yambadili sura Tunda ...

Post Image

  Tunda Man amebadilisha muonekano wake kwaajili ya Movie ya Mama kijacho, huku akiachia ndevu kama Rick Rose na leo siku ya Jumatano ndiyo wamemaliza kushoot na walikuwa kambini kwa wiki 1 hivi kukamilisha movie hiyo ambayo kwenye muvi hiyo imemhusisha msanii mrembo wa Bongo Movie Riyama Ally pamoja na Comediani Mboto. Pia Tunda Man […]

Read More..

Shamsa Ford Atoa Wito kwa Wanawake Kupinga ...

Post Image

Shamsa Ford kutoka kiwanda cha filamu Bongo amezungumza kwa mara nyingine tena sababu ya kuachana na aliyekuwa mzazi mwenzie, aliyezaa naye mtoto mmoja wa kiume kuwa ni Vipigo vya mara kwa mara kutoka kwa mzazi mwenzie huyo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shemsa Ford ameandika hivi: Wanawake wenzangu tusimame kwa pamoja na tukemee hii tabia […]

Read More..

Ubonge Wamnyima Raha Wema Sepetu

Post Image

Kupitia ukurasa wake wa Instgram Wema aliandika ujumbe ambao umeleta utata kwa baadhi ya mashabiki ambao wanahisi huenda Wema Sepetu bado ana ujauzito kutokana na kitendo chake cha kutotaka kupost picha zake mpya na kutokana na mabadiliko yake ambayo wanahisi yanaletwa na ujauzito. Ingawa mashabiki wengine wamekuwa wakimshauri kuwa anapaswa kupunguza mwili wake kwa kufanya […]

Read More..