-->

Daily Archives: March 17, 2016

Tanzania Yatajwa Kwenye Nchi 10 Zisizo na F...

Post Image

Denmark imechukua nafasi ya Switzerland kama nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mujibu wa ripoti iliyotoka Jumatano hii. Ripoti hiyo imeandaliwa na ‘Sustainable Development Solutions Network and the Earth Institute’ katika chuo kikuu cha Columbia. Ilionesha kuwa Syria, Afghanistan na nchi zingine 8 zilizopo chini ya jangwa la Sahara ndizo sehemu zisizo na furaha zaidi. […]

Read More..

Mali za Jide Zazua Kizaazaa!

Post Image

Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kukabidhiwa talaka na aliyekuwa mumewe, Gardner G. Habash ‘Captain’, mali za mrembo wa nguvu, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ zinadaiwa kuzua kizaazaa baada ya kusemekana kutokea mvutano wa baadhi ya ndugu wa mwanamuziki huyo kutaka amgawie mtalaka wake  huyo, Amani lina ubuyu kamili. TUANZE NA TALAKA Baada ya Jide […]

Read More..

Baraka Afunguka Kuhusu Naj

Post Image

Siku chache baada ya Enewz kuzinyaka tetesi zinazomuhusisha msanii wa bongo fleva Baraka da Prince kuwa na mahusiano na wasanii wa kike tofauti tofauti, mapya yameibuka kuhusiana na sakata hilo. Hivi sasa E-News yapata fununu za Baraka kuhusishwa kimapenzi na msanii Naj. Hili limekuwa jipya kwa E-newz na kutaka kufahamu juu ya msanii huyo kuonekana […]

Read More..

Kanye West Aliomba Kupiga Picha Viatu Vyang...

Post Image

“Nilikutana na Kanye West Airport Los Angeles wakati nikisubiri mabegi yangu pale, kuna sehemu nilikuwa nimekaa namsubiri Mose Iyobo na Babu Tale sasa ghafla akaja mtu na kuniuliza naweza kupiga picha viatu vyako? nikamwambia haina tatizo sasa nilipomuangalia vizuri ndiyo nikagundua kuwa ni Kanye West, hapo sasa ndipo nikashtuka nikawa siamini amini hivi lakini jamaa […]

Read More..

Serikali Yafafanua Tuzo ya Lulu

Post Image

SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imefafanua kwamba filamu ya ‘Mapenzi ya Mungu’ ya msanii Elizabeth Michael (Lulu) iliyoshinda tuzo ya Filamu bora Afrika Mashariki mapema mwezi huu huko Lagos, Nigeria katika tuzo za African Magic Views Choice Award (AMVCA), aliipata kwa kuwa yeye ndiye mmiliki wa filamu hiyo. Taarifa kutoka wizara […]

Read More..