-->

Daily Archives: March 21, 2016

Khadija Kopa Adai Umri Unamtupa Mkono, Ajip...

Post Image

p>Malkia wa muziki wa taarab nchini, Khadija Kopa amesema kwa sasa anajipanga kuwekeza zaidi kwenye biashara kwa kuwa umri wa kuimba unamtupa mkono. Akizungumza katika kipindi cha Uhondo cha EFM Ijumaa iliyopita, Khadija amesema moja ya biashara kati ya zile ambazo anatarajia kuzifungua ni mgahawa. “Hivi sasa nampango wa kufungua mgahawa mkubwa, nataka nifungue na […]

Read More..

Afya ya Chid Benz Yawashtua Wengi

Post Image

Kuna picha siku ya jana zilikuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha Chid Benz akiwa amepungua mwili na kuonekana ni dhaifu, jambo ambalo limewahuzunisha mashabiki wengi na wadau mbali mbali, huku wengine wakisema kuwa Chid Benz anahitaji msaada kwani hali yake ni mbaya. Kwa upande wake msanii Afande Sele alipost picha hiyo ya Chid Benz […]

Read More..

Hemed PHD Wanted, Amtapeli Producer Roho Si...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu Hemed Suleiman ‘Phd’ anatafutwa na mtayarishaji wa Filamu nchini baada ya kuchukua malipo kwa ajili ya kushiriki filamu ya Maziko saa sita na kulala mitini FC imetonywa na mdaku aliyopo anga za Phd anazopinda kujidai. Mdaku huyo akiidakisha FC amedai kuwa msanii huyo wa muziki na filamu huku akifanya poa katika filamu […]

Read More..

Lady JayDee: Nililala, Nimeamka Tena!

Post Image

Unapozungumzia wakongwe wa Muziki wa Bongo Fleva kwa upande wa wanawake, jina la Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ hutaacha kulitaja miongoni mwao. Kwa zaidi ya miaka 15, mkongwe huyu ameweza kukaa kwenye muziki pasipo kutete-reka huku kila baada ya kipindi akiibuka na nyimbo ambazo zinakuwa gumzo. Tangu mwaka 2000 hadi sasa ameshanyakua tuzo zaidi ya 25 […]

Read More..

Lulu Atoa Sadaka ya Shukrani Kanisani

Post Image

Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume ‘Enesmo Ndegi’ kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu aliyemuwezesha kupata ushindi wa tuzo. “Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu pamoja Baba na Mama hakika sijutii kuokoka kwangu […]

Read More..