-->

Daily Archives: March 22, 2016

Filamu ya ‘7314Munu Mukuru’ Kutoka Mwez...

Post Image

BAADA ya kufanya vizuri kwa filamu ya ‘Mr. Makuka’ msanii wa filamu Tanzania, Bakari Makuka ‘Beka’, yupo mbioni kuachia filamu mpya inayokwenda kwa jina la ‘7314Munu Mukuru’. Beka alisema katika filamu hiyo amewashirikisha wasanii wakongwe akiwemo, Fatuma Makongoro, ‘Bi Mwenda’, Chuchu Hans, Haji Salum ‘Mboto’, Pacho Mwamba na wasanii wengine wengi. “Filamu hii nataraji kuiachia […]

Read More..

Natamani kuwa na Mahusiano na Wizkid-Linah ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva nchini Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa alikuwa anatamani na bado anatamani sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Wizkid kutoka nchini Nigeria. Akipiga stori kwenye kipindi cha eNEWS kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana (EATV) Linah Sanga alisema kuwa toka kipindi cha nyuma alikuwa anatamani kuwa na msanii […]

Read More..

Diamond Ateketeza Sh.Mil 100 Ulaya

Post Image

DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata, Wikienda linakupa habari kamili. Diamond aliyeambatana na wanafamilia kama 14 wakiwemo Zarinah Hassan ‘Zari […]

Read More..

Msanii Huwezi Kufanya Kazi Peke Yako- Lady ...

Post Image

Msanii mkongwe katika muziki wa bongo fleva , Lady jaydee maarufu kama Komando ambaye sasa anatamba na wimbo wake mpya wa ‘Ndi Ndi ndi’ amefunguna na kuweka wazi sababu zilizomfanya kuwa chini ya uongozi na kudai kama msanii huwezi kufanya kazi kazi peke yako. Lady Jaydee alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Planet bongo alidai kuwa aliamua […]

Read More..

Nipo Kwenye Mahusiano Salama -Mwasiti

Post Image

Msanii wa bongo fleva hapa nchini Mwasiti Almasi amesema kwamba muonekano wake kwa sasa ni kutokana na kwamba yupo kwenye mahusiano ambayo ni salama. Mwasiti ametoa ya moyoni alipokuwa akizungumza na EATV kuhusiana na mwonekano wake kwa sasa kuonekana anavutia zaidi tofauti na siku za nyuma. ”Muonekano wangu kwa sasa nina mapenzi ambayo ni salama […]

Read More..