-->

Daily Archives: March 29, 2016

Sugu Awachana Wasanii Kufanya Show Ulaya

Post Image

Kwenye stori tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio, Sugu amesema huwezi kutumia kigezo cha wasanii kufanya show nje ya Afrika yaani Ulaya, America na kwengineko kama kigezo kuwa game imekua, kwa sababu show kama hizo walishazifanya miaka zaidi ya 20 iliopita. “Huwezi kutoa credit kwa kusema wasanii wanaenda kupiga show Ulaya, Sugu, X-plastars, […]

Read More..

Wake Zangu Hawahusiki na Umaarufu Wangu-Mze...

Post Image

Mzee Yusuf ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha E News kinachorushwa na EATV kuhusiana na wakezake kuzozana kwenye mitandao ya kijamii na kama suala hilo haliwezi kumharibia katika tasnia ya muziki hapa nchini. ”Wake zangu hawahusiki na ‘usupastaa’ wangu mimi ni Mfalme na wake zangu wanaweza kuondoka lakini mimi nikabakia na ndiyo maana […]

Read More..

Barakah Da Prince Ajiweka kwa Naj

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva ‘Barakah da Prince’ akiwa na mpenzi wake Najma Dattan ‘Naj’. HATIMAYE! Baada ya kufichaficha kila sehemu juu ya uhusiano wao, msanii wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah da Prince’ ameamua ‘kujilipua’ kwa mpenzi wake mpya, Najma Dattan ‘Naj’ na kwamba ndiyo kila kitu kwake. Akiliachia domo liserereke, Barakah anayebamba na Ngoma […]

Read More..

Ishu ya Madawa ya Kulevya, Tunda Amkingia K...

Post Image

David Genzi ‘Young D’ akiwa na mpenzi wake Tunda. MUUZA nyago kwenye video za Bongo Fleva, Tunda Sebastian amejikuta akimkingia kifua mwandani wake, David Genzi ‘Young D’ kutokana na kuhusishwa na matumizi ya madawa ya kulevya na kudai maneno hayo ni uzushi mtupu. Akibonga na Showbiz alisema kuwa, anawashangaa watu ambao kila kukicha wamekuwa wakimsakama […]

Read More..

Waziri Nape Aelezwa Rose Mhando Alivyo jipu

Post Image

MSANII wa nyimbo za injili nchini, Rose Mhando, ameshtakiwa kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, kwa kitendo cha utapeli na kushindwa kutekeleza mkataba wa kuhudhuria na kutumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka lililofanyika jijini Mwanza licha ya kulipwa gharama zote alizotaka. Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions inayoongozwa na Alex Msama, ambayo […]

Read More..