-->

Daily Archives: April 4, 2016

Wake Zangu Wananivuruga Akili-Mzee Yussuf

Post Image

Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yussuf amesema hakuna kitu kinamuumiza kichwa kama kutoelewana kwa wake zake wawili.   Akizungumza katika kipindi cha Sporah Show cha Clouds TV, Mzee Yussuf amesema anapitia wakati mgumu sana kuwamiliki wake wawili anaowapenda wakati wao hawapendani. “Kusema kweli napata wakati mgumu kuwahandle, yanii linanivuruga sana hili swala,” […]

Read More..

Wananiroga Sana – PNC

Post Image

Msanii PNC ametoa sababu ya yeye kutofanya vizuri sasa hivi kwenye kona ya muziki, huku akihusisha imani za kishirikina, ambazo hivi karibuni baadhi ya wasanii wamekiri kuwepo kwa mambo hayo. PNC ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kuwa pamoja na kuwa ameshawahi kufanya kazi zingine […]

Read More..

Je ni Kweli Video hii ya Wema Sepetu Imeuvu...

Post Image

Mara baada ya video ya Wema Sepetu aki-kiss na jamaa mwingime kusambaa mtandaoni, mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan ambaye anadaiwa kuwa bado yupo kwenye mahusiano na Wema sepetu inasemekana kuwa video hiyo imemuumiza sana moyo.     Idris amepost picha hiyo chini kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: “I have learnt to consider […]

Read More..

Shamsa, Faiza Washerehekea Kulea Wenyewe!

Post Image

Kweli? Mastaa wawili wa Bongo Muvi, Shamsa Ford na Faiza Ally wametamba kuwa wanasherekea maisha ya ‘usingo mama’ wakidai wanalea wenyewe watoto wao bila wazazi wenzao. Wakizungumza na Wikienda kwa pamoja wakiwa kwenye viwanja vya bata jijini Dar, Shamsa na Faiza walidai kuwa, pamoja na wazazi wenzao kukaa pembeni na kuwaachia majukumu ya kulea, ‘wanainjoi’ […]

Read More..

Irene Uwoya Adai Anapenda Kuigiza ‘scene...

Post Image

Staa wa filamu Irene Uwoya amesema anapenda sana kuigiza ‘scene’ za mapenzi katika filamu kwa sababu ni kitu ambacho anaweza kukifanya kwa ukamilifu zaidi.   Muigizaji huyo ambaye alionyesha uwezo mkubwa katika filamu ya Fair Decision, Pretty Girl pamoja na Oprah, amekiambia kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa filamu ya Oprah ndio filamu ambayo ilimpa […]

Read More..

Wasanii Zaidi ya 70 Wajitokeza Usaili wa Fi...

Post Image

ZAIDI ya wasanii wa kike na mastaa wa filamu Bongo 70 wenye umri kati ya miaka 16 na 30, wamejitokeza katika usaili wa filamu mpya ya ‘Xballer’ uliofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Aliyeongoza zoezi zima la usaili huo ni prodyuza na mwigizaji mkuu katika filamu ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon […]

Read More..

Wengi Hawapo Tayari Kupiga Vita Dawa za Kul...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo Fleva Rehema Chalamila kama Ray C amefunguka na kusema kuwa watu wengi hawapo tayari kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya nchini jambo ambalo linazidi kuwapoteza vijana wengi kutokana na matumizi ya dawa hizo. Kupitia Account yake ya Instgram Ray C aliyasema haya na kuwataka vijana wa Tanzania kusimama mstari […]

Read More..