-->

Daily Archives: April 8, 2016

Najuta Kuachana na Mke Wangu wa kwanza – ...

Post Image

Mtangazaji wa Clouds FM, Gardiner G Habash amesema miongoni mwa vitu anavyojutia katika maisha yake ni kuachana na mke wa kwanza aliyezaa naye mtoto wa kike, Karen, ambaye kwa sasa yupo mwaka wa pili chuoni.   Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gardiner alisema kutokana na kubadilisha kazi ya awali na kuwa […]

Read More..

Kipini Puani kwa Diamond Chazua Gumzo Mtand...

Post Image

MFALME wa Bongo Fleva nchini anayekimbiza na ngoma yake ya Make Me Sing, Diamond Platnumz amejikuta kwenye wakati mgumu huku akishambuliwa kwa maneno kwenye mtandao wa Instagram baada ya jana Jumatano kuweka picha iliyomwonesha akiwa amevaa hereni. Picha hiyo ilizua sintofahamu kwa mashabiki zake huku wengi wao wakihoji imekuwaje na nini kimemsibu staa huyo kutoboa […]

Read More..

Wanawake Hatupendani Kabisa -Khadija Kopa

Post Image

Msanii maarufu wa taarabu nchini Khadija Kopa amewaasa wanawake nchini kupendana na kusaidiana ili kuweza kupiga hatua za kimaendeleo. Kopa ameyasema hayo aliposhiriki katika kipindi cha wanawake live kinachorushwa na EATV ili kuwajengea wanawake ujasiri wa kutafuta na kuepuka utegemezi hapa nchini. ”Wanawake hatupendani mimi ni mwana siasa nikiwa kwenye kura hatua za kupigiwa kura […]

Read More..

Alikiba Kugeukia Soka..! Je, Vipi Kuhusu Mu...

Post Image

Msanii Alikiba amefunguka kuhusu suala la yeye kuingia kwenye soka na kulisakata kabumbu, na kusema kuwa suala kama hilo linawezekana kwake.   Alikiba ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa radio, na kusema kuwa hivi karibuni kuna timu ya mpira imemfuata kumtaka kujiunga na timu hiyo, lakini atakuwa na […]

Read More..

Shamsa Ford: Mungu Niepushe Nisiingie Kweny...

Post Image

Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford hivi karibuni alifunguka kupitia mtandao wa Instagram kuwa mahusiano na mastaa wa Bongo hayadumu kwa miezi mitatu na amemuomba Mungu amuepushe mbali nayo.   Akiweka picha ya Beyonce na Jay Z, Shamsa alidai ni uhusiano wao tu ndiyo anaouelewa miongoni mwa mastaa. Aliandika: Haya ndio mahusiano ninayoyakubali dunia nzima.unaweza […]

Read More..

Cloud afunga ndoa tena Ulaya kwa siri

Post Image

NYOTA wa sinema za Bongo, Issa Mussa ‘Cloud’ amefunga ndoa  tena, lakini safari hii ni kwa siri huko nchini Sweden na mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Mina ambaye amekuwa akimposti kila kukicha mitandaoni kwa kumuita pacha. Chanzo kilicho karibu na staa huyo kililiambia gazeti hili kuwa, Cloud amemfanyia mbaya mkewe, Cynthia kwa kuamua kuoa […]

Read More..