-->

Daily Archives: April 17, 2016

Picha: Ajali Aliyoipata Msanii Tunda Man Ir...

Post Image

Staa wa bongo Fleva,Tunda Man  amepata ajali  mapema hii leo huko mkoani Iringa. Maelezo ya mwanzo ya Tunda Man amesema ‘Tulikua tunatoka Njombe baada ya kumaliza show yetu na tukasema bora tusilale tuwahi kufika Dar,tumetoka Njombe saa 10 alfajiri mimi nikawa nasikia usingizi nikamwambia mwanangu hebu tuendeshe kidogo,kufika kijiji cha Idetelo kilomita kama 20 au […]

Read More..

Lady Jaydee na EFM Wameingia Kwenye Ubia Ga...

Post Image

Wenyewe wanasema ‘Huu Mchezo Hauhitaji Hasira’. Ni mchezo upi huo? Usemi huu ulianza baada ya EFM kuwapora watangazaji wawili wa Clouds FM, Gerald Hando na Paul James kabla ya wao nao kuporwa mtangazaji wao, Gardiner G Habash. Na sasa movie linaendelea kunoga. Lady Jaydee anayefahamika kuwa mgogoro mzito na Clouds FM na aliyekuwa mke wa […]

Read More..

Mafufu Adaiwa Kuzabwa Kibao na Mkewe

Post Image

Kali tuliyoinasa inamhusu msanii maarufu wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu ambaye inadaiwa juzikati alijikuta akinaswa kibao na mkewe baada ya kumsifia msichana aliyemuona kwenye TV. Chanzo ambacho ni ndugu wa mke wa Jimmy kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, siku hiyo walikuwa wakitazama filamu kwenye TV, Jimmy akaonekana kuvutiwa na mdada mmoja na kuanza […]

Read More..

Wanaosema Sina Kazi Wanakosea- Idris Sultan

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Idris Sultan amesema kwamba wanaosema hana kazi na anazurura tuu kwenye mitandao ya kijamii wanakosea kwa sababu yeye ni msanii. Idris amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na mtangazaji Salama Jabir katika kipindi cha Mkasi Tv Show kinachotushwa na EATV. ”Mimi ni ‘Celebrity’ na kwangu kuwa kwenye mitandao ya kijamii kwangu ni kazi kwa […]

Read More..

Ommy Clayton Amleta Gabo na Kitu

Post Image

MTAYARISHAJI na mtunzi mahiri wa filamu za Kibongo  Omary Clayton ‘ Ommy Clayton’ wiki ijayo anatarajia kuachia filamu yake kali nay a kusisimua ya Kitu ambayo amewashirikisha wasanii wakali kama vile Ahmed Salim ‘Gabo’ na wengine. “Safari hii nimejipanga zaidi kikazi kwani filamu yangu ya Kitu si mchezo unakutana na msanii Gabo kafanya maajabu humo, […]

Read More..