-->

Daily Archives: April 18, 2016

Mzee Yussuf Awataka Ali Kiba na Diamond Waz...

Post Image

Mzee Yussuf ni miongoni mwa wasanii ambao hawaamini kama Diamond na Ali Kiba wana beef kutokana na wawili hao kutokutana pamoja na kuonyesha tofauti zao. Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Mzee Yussuf amesema beef ya Diamond na Ali Kiba zinakuzwa na mashabiki lakini sio beef kweli. “Mimi Ali Kiba na Diamond sidhani kama wana beef […]

Read More..

Ommy Dimpozi Alinisumbua Sana- AliKiba

Post Image

Msanii Alikiba amefunguka na kusema msanii Ommy Dimpoz alimsumbua sana ili kufanya naye ‘Collabo’ japo anasema alikuwa anamsumbua kwa namna nzuri na si mbaya kwani lengo lake lilikuwa ni kufanya kazi na yeye. Akiongea na East Africa Radio Alikiba alidai kuwa ilimchukua takribani mwezi mmoja kama si miwili ili kufanya kazi hiyo na Ommy Dimpoz […]

Read More..

Baba Haji: Ni Mwendo wa Kutoa Vipaji Tu!

Post Image

HAJI Adam ‘ Baba Haji’ anasema kuwa elimu yake ya Sanaa aliyosoma anaitumie kwa kuwasaidia wasanii wenzake na kuwatia moyo kuwa wana nafasi ya kuweza kujiunga na vyuo vya sanaa endepo watatenga muda na kujigawa kwa ajili ya kujiendeleza zaidi kitaaluma. “Nimekuwa mwalimu mzuri kila ninapokutana na wasanii chipukizi hata wakubwa kujaribu kuwagawia kile nilichojariwa […]

Read More..

Young Killer Aizungumzia Picha Yake na Diam...

Post Image

Picha aliyoiweka rapa Young Killer kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na Diamond, imezua maswali kadhaa ya matumaini miongoni mwa mashabiki wake. Rapa huyo wa Mwanza amepost picha akiwa na Diamond Plutnumz na kuandika: Hakuna mtu aliye zaliwa ili aje awe maskini (ndiyo ) unaweza ukawa umezaliwa kwenye familia maskini ila ukweli ni kwamba hujazaliwa […]

Read More..

Ukweli wa Kaka’ke Diamond Kubaka Sweden

Post Image

Mwisho wa utata? Hatimaye ukweli juu ya sakata la kaka wa staa wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Rommy Jones umeanikwa ndani ya Ijumaa Wikienda ambalo ni namba moja kwa habari za mastaa ndani na nje ya Bongo. Kabla ya gazeti hili kuchimba undani wa msala huo, kulienea tetesi mbalimbali kuwa Rommy ambaye ni […]

Read More..

Jide Ampeleka Ray C Kwenye Maombi

Post Image

Tenda miujiza Bwana! Lile sakata la mwanadada Rehema Charamila ‘Ray C’ kuandamwa na pepo mbaya wa utumiaji wa dawa za kulevya ‘unga’ hata baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ‘JK’ kumsaidia, inasemekana Mwanamuziki Judith Wambura ‘Jide’ ameambatana naye kanisani kwa ajili ya maombi. Kikimwaga ‘ubuyu’ mbele ya Ijumaa Wikienda, chanzo chetu kilitonya kuwa hivi karibuni […]

Read More..

Mtanzania Ashinda Tuzo ya Filamu za Kigeni ...

Post Image

SOKO la filamu za Tanzania limezidi kujitangaza nje ya nchi baada ya Filamu ya ‘Daddy’s Wedding’ iliyoongozwa na Mtanzania, Honeymoon Aljabri, kushinda tuzo ya filamu bora ya kigeni katika tamasha la filamu za kimataifa lililofanyika juzi katika Hoteli ya Double Tree mjini Houston Marekani. Honeymoon ambaye pia ndiye prodyuza wa filamu hiyo, alisema furaha yake […]

Read More..