-->

Daily Archives: April 22, 2016

Subirini Ngoma ya East Coast Team – M...

Post Image

Msanii mwana FA ameelezea sababu za kuvunjika kwa kundi la East Coast Team na kutoa taarifa za kurudi kwake, na kuwataka mashabiki wakae tayari kwa muda wowote kupata kazi kutoka kwao. Mwana FA ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, na kusema kuwa majukumu ndiyo yalifanya kundi hilo kusambaratika kikazi, lakini kwa […]

Read More..

TANAPA Kutoa ‘Location’ kwa Wasanii

Post Image

MENEJA Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete, amesema wasanii wa filamu nchini wanatakiwa kutumia mandhari za asili zilizoko katika hifadhi za Taifa kwa ajili ya kurekodi filamu zao ili kutangaza utalii wa ndani. Shelutete alisema hayo katika tamasha la chama cha wasanii wa filamu wa jijini Arusha (TFDAA) katika Uwanja wa Sheikh Amri […]

Read More..

Kitale: Sina Fedha za Kuanzisha Kundi la Sa...

Post Image

MSANII wa filamu na vichekesho, Musa Kitale ‘Mkude Simba’, amesema hana mpango wa kuanzisha kundi la vijana wenye vipaji kwa sasa kwa kuwa hana fedha za kumudu shughuli hiyo. Alisema lengo lake ni kuanzisha kundi lakini kwa sasa hayupo tayari kwa kuwa hana fedha za kutosha. “Kwa kweli mpango wa kuwa na vijana ninao, kuna […]

Read More..

Picha: Odama Atoa Sadaka Kwenye Kituo cha K...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ akiwa na wasanii wenzake siku ya jana walitembelea na kutoa sadaka kwenye kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazigira magumu, kituo cha Kituo Cha UMRA Kilichopo Magomeni Mikumi  jijini Dar. Odama ambaye filamu yake mpya ya MKWE  imeigia sokoni hiyo jana, amewataka mashabiki wake waende madukani wakajipatie nakara […]

Read More..

Lulu Ashambuliwa kwa Maneno, Kisa Mama Kanu...

Post Image

KITENDO cha muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kudaiwa kutoa maneno yenye kuonesha sawa na kumtusi mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, baadhi ya watu wamesema kuna dalili za msichana huyo kuitafuta laana. Hivi karibuni, mama Kanumba aliliambia gazeti moja nchini (siyo ya Global Publishers) kuwa tabia ya mpenzi huyo wa zamani […]

Read More..

Utata: Tunda Man Afunguka Juu ya Miujiza ya...

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Tunda Man, ameamua kuadithia mkasa mzima uliotokea kwenye ajali waliyoipata weekend iliyopita Mkoani Iringa na kusababisha kifo cha msanii mwenzao Man Katunzo. Akizungumza na Enewz Tunda Man amesema, “Wakati tupo njiani marehemu aliniita katika gari yake nikahama katika gari niliyokuwa nimepanda na kuhamia katika gari yake na wakati […]

Read More..

Nay Wa Mitego kumsaidia mzazi mwenzie ‘Si...

Post Image

Mahakama ya wilaya ya Nyamagana,Mkoani Mwanza jana ilimhukumu miaka miwili jela mzazi mwenzie na msanii Nay Wa Mitego, Siwema Edson kwa makosa ya kimtandao,msanii huyo anafikiria kuahirihisha shoo yake kwa mwisho wa mwezi huu ili aende Mwanza kumsaidia mama watoto wake huyo. ’Inabidi niondoke hivi karibuni ilibidi nisubiri nimalize shoo lakini kwa ajili ya kumpambania […]

Read More..