-->

Daily Archives: November 3, 2016

Diamond: Rich Mavoko Ana Mabomu ya Hatari

Post Image

Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa ukimya wa Rich Mavoko unatokana na msanii huyo kujipanga na kazi zake mwenyewe na kudai mpaka sasa amefanya kazi nyingi na kali sana. Diamond Platnumz alisema hayo hivi karibuni kupitia kipindi cha Friday Night Live na kusema kuwa Rich Mavoko amefanya kazi nyingi lakini yeye mwenyewe anaziweka pembeni na […]

Read More..

DSTV Kuwapa Ulaji Waigizaji wa Bongo Movies

Post Image

KING’AMUZI cha Dstv kilicho chini ya Multchoice, kinatarajia kutoa kipaumbele kwa waigizaji Watanzania kutumia chaneli yake ya ‘Maisha Magic Bongo’ kutoa elimu ya lugha ya Kiswahili Afrika. Akizungumza na MTANZANIA jana, Barbara Kambogi alisema watakuwa wakitumia kazi za waigizaji wa Tanzania kufundisha lugha hiyo. Barbara alisema kuwa Ijumaa ijayo wanatarajia kufanya mazungumzo na waigizaji wa […]

Read More..

Esma, Dada wa Diamond Avunja Ukimya

Post Image

Dada wa msanii Diamond platnuz Esma Platnumz amesema hakuwahi kumtabiria wala kutegemea kuwa kaka yake Diamond angekuja kuwa mtu maarufu kimataifa japo alikuwa akionesha kupenda muziki tangu akiwa mdogo. Hata hivyo Esma amesema maswala yanayoandikwa kwenye magazeti kuhusiana na Baba yake siyo ya kweli kwa kuwa yeye anamfahamu baba yake mzazi na mtu aliyejitokeza kwenye […]

Read More..

Rose Ndauka:Kuvunjika kwa Ndoa Sio Tatizo l...

Post Image

Malkia wa filamu Rose Ndauka amewataka watanzania kujua kuvunjika kwa ndoa sio tatizo la wasanii wa filamu pekee bali ni tatizo la jamii nzima. Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae, Naveen amesema kwa sasa yeye bado yupo yupo kuingia kwenye maisha ya ndoa. “Ndoa ni makubaliano ya watu wawili, mimi bado nipo […]

Read More..