-->

Daily Archives: November 5, 2016

Hemed ‘PhD’, Filamu Kali, Muziki Mzuriâ...

Post Image

NIKIMTAZAMA msanii mwenye makeke mengi akiwa na uwezo mkubwa wa kuvaa uhusika, Hemed Suleiman ‘PhD’, namkumbuka galacha wa Bongo Fleva Khaleed Mohamed ‘TID’. TID yeye ni msanii wa Bongo Fleva akitamba zaidi kwenye RnB, ambaye aliweza kung’aa sana enzi zake na hadi sasa akiwa na bendi yake iitwayo Top Band. Akiwa yupo kwenye kilele cha […]

Read More..

Rose Ndauka Atoa Ombi Hili kwa Serikali

Post Image

Msanii wa filamu nchini,Rose Ndauka ameitaka serikali kuongeza nguvu katika kusimamia kazi za wasanii. Rose ametoa kauli hiyo alipokuwa akiuzungumzia utendaji wa Rais Magufuli katika kipindi cha mwaka mmoja toka achaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. “Kwenye tasnia ya filamu nikimuongelea Rais John Pombe Magufuli mi mabadiliko ninayoyafikiria ni mabadiliko zaidi ya […]

Read More..

Wema Sepetu Amtolea Uvivu Muna, Ampa Makavu...

Post Image

Staa na mrembo kutoka Bongo Movie, Wema Sepetu na shosti wake wa karibu Muna kimenuka – Kupitia mtandao wa Instagram Wema Sepetu amemtuhumu rafiki yake huyo kumtumia mama yake kama ‘ndondocha’. Kupitia mtandao huo, Wema ameandika: Rose Alphonce Nungu… Nakuita tena kwa mara ya pili Rose Alphonce Nungu…. Unanitafutia nini wewe mwanamke…!? Nini nimekukosea wewe […]

Read More..

Mzee Chilo Awataka Wasanii wa Filamu Kuacha...

Post Image

guli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema licha ya tasnia ya filamu kukumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuacha kulalamika. Mzee Chilo aliiambia Bongo5 kuwa wasanii hawatakiwi kukata tamaa kwa kuwa tayari wameitoa mbali tasnia ya filamu. “Mimi napenda kuwaambia wasanii wenzangu tufanye kazi […]

Read More..