-->

Daily Archives: November 12, 2016

Nilipumzika Muziki Kula Bata – Ommy Dimpoz

Post Image

Msani Ommy Dimpoz amesahihisha mashabiki walipokuwa wakisema msanii huyo kafulia baada ya kukaa kimya muda mrefu kwenye game, na kusema aliamu tu kupumizka kwa muda na si kama alifulia. Akizungumza kwenye FNL ya East Africa Television, Ommy Dimpoz amesema watanzania wamekuwa na mtazamo tofauti sana hasa pale msanii anapokuwa kimya kwenye kazi zake, na kukimbilia […]

Read More..

Alikiba Akerwa na Watanzania wanaomtusi Wiz...

Post Image

Alikiba ameelezea kusikitishwa kwake na Watanzania wanaomtukana staa wa Nigeria, Wizkid kwenye akaunti yake ya Instagram. Kiba amesema anaamini wale wanaomtukana si mashabiki wake kwakuwa mashabiki wake wa ukweli wanajua jinsi anavyomkubali Wiz. Ali amesema yeye ni shabiki mkubwa wa Wizkid na amemsihi kuwapuuza watu hao wanaomtukana. “I am not happy with what has been […]

Read More..