-->

Daily Archives: November 19, 2016

TUZO za EATV: Kwanini Mastaa Wametoswa?

Post Image

MIONGONI mwa habari zinazobamba kwa sasa katika ulimwengu wa mastaa Bongo ni pamoja na Tuzo za EATV 2016, lakini kinachozunguka zaidi vichwani mwa wadau ni kutoswa kwa baadhi ya mastaa wengi wa filamu na muziki katika kinyang’anyiro hicho. Tuzo hizo ambazo zinatarajiwa kutolewa Desemba 10, mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es […]

Read More..

Kajala Masanja: Afunguka Kuhusu Msamy Baby,...

Post Image

STAA wa Bongo anayetesa kwenye filamu, Kajala Masanja amevunja ukimya na kufunguka kuhusu maneno yanayozagaa mitaani yakimtaja kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa nyakati tofauti na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Msamy Baby. Kwa muda mrefu sasa, minong’ono hiyo imekuwa ikizagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii […]

Read More..

Nikki wa Pili Awaasa Mafisadi, Awakumbusha ...

Post Image

Msanii Nikki wa pili ambaye pia ni mwanazuoni anayetoka kundi la Weusi ambalo linafanya vizuri kwenye muziki wa Hip Hop, amewaasa mafisadi juu ya wanachokifanya, huku akiwaonya kuwa maisha bado yatakuwa yale yale hadi siku ya kifo. Kwenye ukurasa wake wa instagram Nikki wa Pili ameandika ujumbe akiwakumbusha watu wanaopenda kujilimbikizia pesa, kuwa hata uwe […]

Read More..